Sample Basic Family Planning Messages Following is a sample of the basic m4RH family planning messages in English and in Swahili For more information about all of the m4RH messages, please contact us. IUCD Daily pills Kitanzi (IUCD) Vidonge vya kumeza (Daily pills) SampleFamily Basic Family Planning Planning Messages Messages EnglishEnglish IUD is a small device placed inside the womb. Highly effective for 5 to 12 years. For married and singles. May increase monthly bleeding and cramps at first. When removed, can become pregnant with no delay. No infertility or birth defects; does not move around in body. One pill is taken every day. Makes monthly bleeding lighter and regular. Reduces menstrual pains. May have headaches and nausea at first. For married & singles. No infertility or birth defects. After stopping can become pregnant with no delay. Start new packs on time. Take missed pill immediately; Contact provider if miss 2 or more in a row. Get in pharmacies, clinics, or from community health workers. Sample Basic Family Messages Swahili Kitanzi ni kifaa kidogo cha plastiki chenye shaba ambacho huwekwa kwenye mji wa mimba. Kinafanya kazi kwa ufanisi kwa miaka 5 hadi 12 Mwanzoni huweza kuongeza damu ya hethi na maumivu. Kinapotolewa, Unaweza kupata mimba bila kukawia. Hakitembei katika mwili. Vidonge vya kumeza hufanya kazi ipasavyo endapo vitamezwa kila siku na ni salama. Hufanya damu ya hedhi kuwa kidogo na inarekebisha mzunguko wa hedhi. Hupunguza chunusi na maumivu wakati wa hedhi. Haisababishi ugumba wala kasoro kwa mtoto atakayezaliwa. Huweza kupata mimba bila kukawia mtu akiacha kutumia.Huweza kuumwa kichwa na kupata kichefuchefu mwanzoni. Vidonge hupatikana kliniki au duka la dawa.Ni kwa ajili ya walioolewa na wasioolewa. Ukisahau kidonge 1 au 2 meza mara ukumbukapo. Ukisahau kumeza vidonge zaidi ya siku 2, meza mara ukumbukapo.Tumia njia ya ziada ya kondomu au acha kujaamiiana kwa muda wa siku 7. Anza pakiti mpya kwa wakati muafaka. Page 1 of 1
© Copyright 2025